Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Klabu ya Yanga imetoa rasmi orodha ya Jeshi lake la angani (kikosi) ambalo linatarajia kusafiri leo jioni kuelekea nchini Rwanda kwenye mchezo wa #CAFCL dhidi ya Al-Merrikh Sc utakaochezwa kwenye Uwanja wa Pele jijini Kigali, Jumamosi ya Septemba 16, 2023.
Picha hii ni wakati kikosi hicho kilipofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam.
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA