Matokeo ya Taifa Stars Vs Algeria Live Leo 7 September 2023

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Matokeo ya Taifa Stars Vs Algeria Live Leo 7 September 2023

Matokeo ya taifa stars vs Algeria Live leo 7 September 2023

Matokeo ya taifa stars vs Algeria Live leo 7 September 2023, Magoli tanzania vs algeria,wafungaji Tanzania vs Algeria Live, highlights tanzania vs algeria 2023,Algeria vs Tanzania results today?

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" kimewasili Annaba, Algeria tayari kwa mchezo wa marudiano kufuzu AFCON dhidi ya Algeria utakaochezwa leo Septemba 7, 2023.

Taifa Stars leo Alhamisi ni kufa au kupona tu wakati itakapokuwa kwenye kibarua kizito ugenini dhidi ya Algeria mchezo wa kuwania kufuzu AFCON mwakani.

Hakuna namna zaidi ya Stars kupata sare au kushinda. Nyota wa Stars wanapaswa kupambana kwa machozi, jasho na damu kuhakikisha hilo linatimia.

Kwa sasa Algeria ambayo imekwishafuzu inaongoza Kundi F kwa pointi 15, ikifuatiwa a Tanzania yenye pointi saba, wakati ina point nne mbele ya Níger wanaoshika mkia kwapointi zao mbili – wakati Uganda itamaliza na Níger siku leo, Septemba 7 Uwanja wa Marrakech nchini Morocco.

MATOKEO TAIFA STARS Vs ALGERIA

FULL TIME: TAIFA STARS 0:0 ALGERIA

Tanzania tumesonga Mbele


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad