Yanga ni Under Dog Kwa Timu za Sudan

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Wakati wa Yusuph Manji Yanga ya kipindi hicho mwaka 2007 Yanga walitolewa na El Merreikh kwa kufungwa magoli 2-0 ugenini na hapa kwa Mkapa mechi ilimalizika 0-0.

Msimu uliopita ambao Yanga SC wamecheza fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya USM Alger,ni matokeo ya kutolewa katika ligi ya Mabingwa na Al Hilal ya Sudan hapa kwa Mkapa wanatoka sare ya goli 1-1 kule Sudan wanatoka 0-0 Al Hilal wakapita hatua nyingine kwahiyo ukitazama Yanga amekuwa Kibonde kwa timu za Sudan.

Sasa hivi Yanga SC wamepata mafanikio ya kufika fainali ya Shirikisho Wana wachezaji Bora zaidi wenye quality kubwa pia wanakocha mkubwa mwenye CV ya kutosha wataweza kuitoa timu kutoka Sudan??

Credit by @isayah_dede18
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad