Kikosi Cha Simba Vs Power Dynamos Leo October 1

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kikosi Cha Simba Vs Power Dynamos Leo October 1


Kikosi Cha Simba vs Power Dynamos Leo October 1

Simba vs Power Dynamos leo 1 October 2023, Kikosi cha Simba vs Power Dynamos leo, Kikosi cha Simba vs Power Dynamos 1 October 2023, Simba vs Power Dynamos leo, Power Dynamos vs Simba

Kikosi cha Simba vs Power Dynamos leo

  1. Ayoub
  2. Kapombe
  3. Hussein
  4. Kennedy
  5. Che Malone
  6. Mzamiru
  7. Ngoma
  8. Chama
  9. Baleke
  10. Ntibazonkiza
  11. Kibu

NOTE: Kabla ya Mechi Kikosi Kinaweza Badilika

Kikosi cha Power Dynamos kimeingia nchini jana kwa pambano la marudiano la raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Simba, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Mwenya Chipepo akiingiwa na hofu juu ya wapinzani wao.

Mchezo huo wa marudiano utakaopigwa Oktoba Mosi, kwenye Uwanja wa Azam Complex utatoa taswira nzima ya timu itakayosonga mbele katika hatua ya makundi ya michuano hiyo itakayoanza kutimua vumbi kuanzia Novemba.

Akizungumza nasi kutoka Zambia, Chipepo alisema haitakuwa mchezo mwepesi kutokana na rekodi ya Simba, ingawa hawataingia kinyonge kwani kila mmoja wao anatambua umuhimu wa michuano hiyo mikubwa Afrika.

“Baada ya kumaliza mchezo wa mwisho sisi kama benchi la ufundi tulikaa na wachezaji na kuwajenga kimwili na kiakili kwa sababu wapo baadhi yao walishaanza kushawishika jambo ambalo kwetu halikuwa nzuri,” alisema.

Chipepo aliongeza changamoto katika mchezo huo ni nguvu kubwa ambayo mashabiki wa Simba wanayo kwani hata mechi ya kwanza  Zambia waliliona hilo hivyo wanatarajia ugumu kwenye marudiano.

“Ukizungumzia Afrika Mashariki nadhani Tanzania ina mashabiki ambao wako karibu zaidi na timu zao na hilo wamelionyesha kwa vitendo kwa sababu wamekuwa nazo bega kwa bega japo tuko tayari kukabiliana na kila hali.”

Dynamos ni mabingwa wa Zambia ilifuzu hatua hiyo kwa bao la ugenini baada ya mchezo wa kwanza kupoteza mabao 2-1 dhidi ya African Stars ya Namibia kisha marudiano kwenye Uwanja wa Levy Mwanawasa ikashinda 1-0.

Mchezo wa kwanza dhidi ya Simba uliopigwa, Ndola Zambia  na timu hizo zilifungana mabao 2-2 huku shujaa wa Simba akiwa ni Clatous Chama aliyefunga yote mawili, hivyo kuiweka timu yake kwenye mazingira mazuri ya kutinga hatua ya makundi.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad