KIMENUKA: Jeshi la Israeli Limewataka Wananchi wote Waishio Gaza Kuuhama Ndani ya Masaa 24

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Jeshi la Israeli limewataka wananchi wote waishio #Gaza kuuhama ndani ya masaa 24 kabla hawajavamia rasmi kuwasaka #Hamas .
.
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu ameapa kukiteketeza kikosi cha Hamas baada ya Kikundi hicho kufanya uvamizi uliouwa mamia ya Waisraeli huku wangeni wakiwachukua kama mateka.
.
Zaidi ya Wanajeshi 360,000 wa Israeli wamekaa mpakani tayari kuivamia Gaza kwa njia ya ardhi.
.
Gaza ina zaidi ya watu Milioni 2.3 na wote wanatakiwa kuhama kutafuta hifadhi mahali kwengine. Kwa upande wa Hamas wamewataka wananchi kukaa majumbani kwa kuziita kauliza Israeli kuwa ni "Propaganda za Uongo"
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad