Producer P Funk Yaamua Kumtemea Nyongo Q Chief "Tabia na Vitendo Vyako Vinakuangusha"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Godfather wa Bongo Fleva P Funk, @majani187 akerwa na tabia za legendy @official_qchief, aandika haya siku chache tangu utoke wimbo mpya 'Malume' aliomshirikisha msanii wa Bongo Records, @rapcha_tz pamoja na Rapa Chidi Beenz.

'' @official_qchief wewe ni vocalist mkali na performer wa kiwang cha juu kabisa. You are one of the best. Lakini unaniangusha kwa tabia na vitendo vyako. Kuna list ndefu ya wadau waliowahi kukushika mkono na kukupa support kila mtu kwa nafasi yake, kwa namna moja au nyingine mwisho wa siku uliwaangusha''.

P Funk ameongeza kuwa, ''Inanisikitisha sana kuona kipaji kikubwa hivi kinapotea, nguvu ya kukusaidia na kukufanya uzidi kwende mbele ipo ndani yako pekee''.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad