Wema Sepetu Afunguka Maamuzi ya Kuamua Kuwa Mtangazaji wa Redio

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Wema Sepetu Afunguka Maamuzi ya Kuamua Kuwa Mtangazaji wa Redio

Wema Sepetu Afunguka Maamuzi ya Kuamua Kuwa Mtangazaji wa Redio

Siku chache baada ya kukabidhiwa jukumu la kuwa mtagazaji na mshauri wa vijana na wanandoa kwenye kituo cha Radio, Wema Sepetu amesema kuwa amechukulia jukumu hilo kwa uzito.


Nimeamua kuchukulia jukumu langu la kutangaza kwa Radio kwa uzito ni kauli aliyochapisha kwenye mtandao wake wa instagram kwenye picha yake aliyokuwa ameshikilia kijiradio.


Muigizaji huyo wa muda mrefu nchini Tanzania alikabidhiwa nafasi ya kuhudumu kama mtangazaji wa vipindi vya mapenzi vinavyohusisha vijana kwa kuwapa ushauri ufaao kwa kuwashauri.


Muigizaji huyu amekuwa akifanya vipindi vya ushauri kwa kushirikisha waskilizaji ambao wanasimulia changamoto wazakumbana nazo huku Sepetu akiwapa ushauri.


Siku chache zilizopita kwenye mahojiano ya moja nyota huyu wa cinema za Bongo alifunguka na kusema kwamba alichagua kituo hicho kuelimisha watu wengi ambao wanapitia wakati mgumu kwenye familia zao na pia kwenye ndoa zao.


Mkuu wa kituo hicho baada ya kuhojiwa alifunguka na kusema kuwa walimchagua wema kwa kuwa alikuwa mfano mzuri kuigwa na waskilizaji kwani ni nyota mashuhuri anayetabuliwa na vizazi vingi.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad