Kuingia Kwenye WhatsApp Kwa Sasa Utatumia E-mail

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kuingia Kwenye WhatsApp Kwa Sasa Utatumia E-mail

Unasifika kwa kuwa na watumiaji zaidi ya Bilioni 2 ulimwenguni kote, huku ukiwa na watu zaidi ya milioni 39 waliopakua ''Application'' hii, ukishika nafasi ya nne baada ya Facebook, Instagram na TikTok.
WhatsApp kwa sasa wanafanya majaribio ya kuwaruhusu watumiaji wake kuingia kwenye ''account'' zao za WhatsApp kwa kutumia E-mail ikiwa kama mbadala wa namba ya simu.

Kwa lugha nyepesi hautakuwa na haja ya kuweka laini yako ya simu kwenye kifaa chako ili kupata namba sita ''OTP'' ambazo hutumika kama udhibitisho kwako unapoingia kwenye ''account'' yako kwenye mtandao wa WhatsApp.

Hii haina maana ya kutambulishwa kwa mfumo wa E-mail kutaondoa mfumo wa ''OTP'' bali itamuongezea machaguo zaidi mtumiaji wa mtandao wa WhatsApp. 

Kwa Lugha nyepesi hiki  ambacho kimeandikwa hapa ni kama unapopika, mwanzoni ilikuwa lazima upike Pilau ndiyo watu wafurahie chakula lakini inakuja namna nyepesi ya wali mweupe ambao haitaji viungo kukamilisha pishi hili, bali ni mchele uleule ambao hapa umekuja kwenye namna ya tofauti. 

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad