Rais Mazembe anunua tiketi zote Mashabiki waingie bure

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Rais Mazembe anunua tiketi zote Mashabiki waingie bure

Rais wa klabu ya TP MAZEMBE, Moïse Katumbi amenunua tiketi zote za mchezo wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya klabu hiyo dhidi ya Mabingwa wa African Football League, Mamelodi Sundowns siku ya Jumamosi, Desemba 2, 2023.


Katumbi amewataka mashabiki waende kuchukua tiketi bure kabisa ili wakafurahie burudani ya soka wakati Mabingwa hao wa zamani wa CAFCL wakikutanisha pembe zao katika dimba la TP Mazembe, Lubumbashi.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad