AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Rais wa Yanga, Hersi Said ametangazwa na Rais wa CAF, Motsepe kuwa Mwenyektii wa Chama cha Klabu za Afrika (ACA).
Hersi ametangazwa kushika nafasi hiyo leo nchini Misri na anakuwa mwenyekiti wa kwaza akisaidiwa na Jessica Motaung wa Kaizer Chiefs na Paul Basset wa Akwa United.
Una maoni gani juu ya uteuzi huu? Tupia Comment yako
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK