Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
BREAKING: Azam Waishusha Yanga Kileleni, Wachapa Mtu Tano
Mechi ya Leo imemalizika kwa AZAM kumfunga 5 Bila timu ya KMC FC
Magoli yamefungwa na Wachezaji Hawa:
Dube ⚽️⚽️
Gambo (og) ⚽️
Sillah ⚽️
Feitoto ⚽️
Kwa matokeo hayo Azam FC wameitoa Yanga Kileleni, Msimamo upo Hivi:
1. Azam FC (11) — 25pts
2. Yanga SC (09) — 24pts
3. Simba SC (08) — 19pts
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA