Kikosi cha Yanga SC vs Al Ahly Today 02 December 2023, CAF

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Kikosi cha Yanga SC vs Al Ahly Today 02 December 2023, CAF

Kikosi cha Yanga SC vs Al Ahly Today 02 December 2023, CAF


Dalili zinaonyesha hakutokuwa na mabadiliko makubwa katika kikosi cha Yanga leo kulinganisha na kile kilichoanza dhidi ya CR Belouizdad.
.
Diarra hapana shaka atarudi langoni kuchukua nafasi ya Metacha Mnata na nafasi nyingine ambayo inaweza kuwa na mabadiliko ni ile ya Kennedy Musonda ambayo inaweza kuanzwa na Clement Mzize.
.
Kikosi cha Yanga

  1. Diarra, 
  2. Yao Attohoula, 
  3. Joyce Lomalisa, 
  4. Dickson Job,
  5.  Ibrahim Bacca, 
  6. Khalid Aucho, 
  7. Maxi Nzengeli, 
  8. Mudathir Yahaya, 
  9. Mzize, 
  10. Pacome Zouzoua
  11. Stephane Aziz Ki.

.
_________

LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad