Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Ameandika haya Mwijaku:
Nilikuwa Nimelala Nikapata Ufunuo Chondechonde Msijirekodi Na Zai Huko Zanzibar Mkishinduana Halafu Video Zikamfikia Mange Utakuwa Umekwisha
Nikiwa Katika Maono Ninemuona Mange Kimambi Akitia Ubani Ili Mjirekodi Please Hata Zai Aseme Kavideo Kamoja Tu Kataaaa Maana Utakaotupa Shida Ni Sisi Mambeghes
Cm Ziwe Na Chumba Chake
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA