Yanga Washusha Fundi wa Kuwasoma Wapinzani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Yanga Washusha Fundi wa Kuwasoma Wapinzani

Yanga imejishtukia, kwani baada ya kutambua mechi za hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika sio mchezo, imeamua kushusha mtaalamu mpya wa kusoma wapinzani.


Mabosi wa Yanga katika kuhakikisha wanamrahisishia kazi Kocha Miguel Gamondi wamemleta mtaalamu wa kusoma mchezo (video Analyst), ili kuliongezea benchi la ufundi la timu hiyo.


Fundi huyo mpya ni Mpho Maruping kutoka Afrika Kusini anayeungana na wataalamu wengine kikosini kujiandaa na vita ya mechi ijayo dhidi ya Medeama katika dimba la Benjamin Mkapa.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad