Paul Makonda: Kwenye Maandamano Walitegemea Tutawaleta Polisi Zama Zimebadilika

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Amenukuliwa Paul Makonda Akisema Haya

"Walitegemea tutawaletea Polisi tutawapiga mabomu ,Nimwambie kaka yangu Mbowe awamu hii imebadilika ,Tutawapa kila kitu lakini kura wananchi hawatawapa,Wako bararani sasa hivi wanatembea ,Yani wewe unazurura unaona raha? ,Na kwa Taarifa yenu tumegundua wengine ni wagonjwa tumepeleka na Ambulance,Ushawahi kuona wapi sheria inatungwa Barabarani?" Katibu wa NEC -Itikadi na Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu Paul Christian Makonda

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad