Aliyempasua Mkewe Mjamzito Tumbo na Kuchemsha Kichanga Akamatwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mtu mmoja Hamis Kulwa (35), anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuuwa mwanaye (2), kisha kumchinja mkewe ambaye alikuwa ni Mjamzito, kumpasua tumbo na kutoa Watoto mapacha, tukio ambalo linahusishwa na imani za kishirikina.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Richard Abwao amesema mtuhumiwa huyo mkazi wa Kata ya Uyogo Wilayani Urambo, baada ya kuwatoa pacha alimpika moto mmoja na kuwazika pacha mwingine na mwanaye aliyemuuwa.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad