Uhuru Kenyatta Amrushia Makombora William Ruto na Uongozi Wake: "Mnapeleka Gari Kwa Mtaro"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Aliyekuwa rais Uhuru Kenyatta alidai kuwa mrithi wake, William Ruto, huenda akaipotosha nchi
Uhuru alifananisha kuongoza nchi na kuendesha gari, akisema kuwa mtu hawezi kuendesha ipasavyo ikiwa ataendelea kutazama nyuma
Ruto na washirika wake wamekuwa wakimlaumu rais huyo wa zamani kwa changamoto za kifedha zinazokumba nch

Uhuru Kenyatta Amrushia Makombora William Ruto na Ungozi Wake: "Mnapeleka Gari Kwa Mtaro"
Uhuru Kenyatta alizungumza

Wakati wa hafla ya mazishi ya mkewe aliyekuwa Mbunge wa Kipipiri, Amos Kimunya, alisema viongozi walio makini wanapaswa kutazama mbele, wala si nyuma.

Rais huyo wa zamani alifananisha kuongoza nchi na kuendesha gari, akisema kwamba mtu hawezi kuendesha ipasavyo ikiwa ataendelea kutazama kioo cha nyuma.

Katika shambulizi lisilo la moja kwa moja dhidi ya utawala wa Ruto, ambalo limekuwa likimlaumu kwa changamoto zinazoikumba nchi, Uhuru alisema viongozi wanaoangazia yaliyopita wataipotosha nchi.


Pia soma
Joyce Omondi Amsifu Mume Wake Waihiga Mwaura kwa Alivyomtunza Alipougua Wiki ya Wapendanao

MAKINIKA: Bofya “Ona Kwanza” chini ya “Fuatilia” ili kuona Habari za TUKO kwenye jukwaa lako la Habari


Chanzo: TUKO.co.ke

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad