Taifa Stars Yafungwa Bulgaria Mashindano ya Fifa Series

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



KIKOSI cha timu ya taifa 'Taifa Stars' kimeanza vibaya mechi za kirafiki 'Fifa series' baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Bulgaria.

Mchezo huo uliopigwa katika Uwanja wa Dalgha Maedakan jijini Baku nchini Azerbaijan hadi dakika 45 za kwanza zinamalizika hakuna timu iliyopata bao, huku timu zote zikionekana kumiliki mpira zaidi eneo la katikati ya uwanja.

Stars itajilaumu yenyewe kupoteza nafasi bora ya kutangulia kufunga dakika ya 28 kupitia nafasi ya wazi ya winga Kibu Denis


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad