AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kocha wa Zamani wa Yanga SC, Cedric Kaze kuelekea mchezo wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns amewapa ushindi Mamelodi bila uoga
"Kuanzia msimu huu umeanza Yanga haijawahi kubadili aina yake ya uchezaji.. hii mechi itakuwa nyepesi kwa Mamelodi japo ushindani utakuwepo kwasababu timu zote mbili zinaweza kumiliki mpira na kupiga pasi nyingi.." amesema Kaze
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK