Yanga Wajitokeza Rasmi Kumtaka Prince Dube

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Uongozi wa klabu ya Yanga, umetuma ofa kwenda Azam FC kwa ajili ya kumuhitaji mshambuliaji wa timu hiyo Prince Dube.

Yanga wapo tayari kuvunja mkataba wa mchezaji huyo kwa dau la Tsh million 512 huku wakitaka kulipa ada ya usajili kwa awamu mbili.

Tayari Dude aliwasilisha ombi la kutaka kuvunja mkataba Azam FC huku akidai mfumo mbaya wa uongozi.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad