Ahmed Ally : Wanasimba Tuvumilie Kupita Kwenye MOTO Huu Mkali....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Ahmed Ally : Wanasimba Tuvumilie Kupita Kwenye MOTO Huu Mkali....

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally, amewataka mashabiki wa klabu hiyo kuwa wavumilivu katika kipindi ambacho timu hiyo inapitia wakati mgumu.


Ahmed Ally ameyasema hayo kupitia mtandao wa Instagram ambapo ameeleza kuwa "Dhahabu hupitishwa kwenye moto mkali ili ipate thamani na iwe bora, licha ya kuwa huteseka inapopita kwenye moto huo lakini mwishoe hubaki safi, bora na thamani yake huongezeka maradufu".


"Wana Simba tuvumilie kupita kwenye moto huu mkali ili tuwe bora na hadhi yetu irejee, najua maumivu ni makubwa kwa kuwa moto mkali lakini hatuna budi kuvumilia kwani ndio njia pekee ya kurudi kwenye thamani yetu" Ameeleza Ahmed

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad