Treni ya Umeme Yatumia Saa TATU na Dakika 59 Dar Mpaka Dodoma

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Treni ya Umeme Yatumia Saa TATU na Dakika 59 Dar Mpaka Dodoma
Treni ya Umeme

Unaweza kusimama katikati ya Jiji la Dar es Salaam, ukapiga simu Mnadani Dodoma. Wale wapishi ukawaambia wachome mbavu za mbuzi na ndizi tatu. Na ukafika kabla haijaiva.


Saa 3 na dakika 59 zilitosha kuwaonesha mashekhe, wanahabari na wachungaji namna treni ya SGR inavyoweza kurahisisha kukuza uchumi wa Tanzania kwa shughuli za usafirishaji.


Ndoto ya Hayati John Pombe Joseph Magufuli, inakwenda kutimia karibuni baada ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kukamilisha miradi yote ya kimkakati aliyoianzisha Mwendazake.


Mpaka sasa Bwawa la Mwalimu Nyerere limekamilika. Na sasa treni ya mwendokasi (SGR) nayo inakwenda kukamilika hivi karibuni. Na hii ndiyo moja ya miradi mikubwa ya kimkakati aliyoacha Hayati John Magufuli.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad