Azam Watinga Fainali ya kombe la Muungano Kibabe, Wamchapa Mtu Goli Tano

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Azam  Watinga Fainali ya kombe la Muungano Kibabe, Wamchapa Mtu Goli Tano

Timu ya Azam Fc imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya kombe la Muungano mara baada ya kupata ushindi wabao 5-2 dhidi ya timu ya KMKM SC ya visiwani Zanzibar.


Mabao ya Azam yamefungwa na Abdul Sopu dakkka ya 7 na 42, Chilambo dakika ya 9, Idd Nado dakika ya 49 na Kishindo dakika ya 74.


Mabao mawili ya KMKM yamefungwa Abdurahman Alli dakika ya 38 na dakika ya 65 bao la mkwaju wa penati.


Azam FC sasa watacheza dhidi ya Simba SC katika hatua ya fainali ya Muungano Cup Jumamosi ya April 27 2024 katika uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad