JKT Tanzania na Yanga hakuna mbabe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

JKT Tanzania na Yanga hakuna mbabe


Mchezo wa #LigiKuuBara kati ya Timu ya #JKTTanzania dhidi ya #YangaSC umemalizika kwa matokeo ya 0-0 kwenye Uwanja wa Meja Jen. Isamuhyo, leo Aprili 24, 2024.


Baada ya matokeo hayo Yanga imeendelea kuongoza Msimamo kwa kufikisha pointi 59 ikiwa na michezo 23, ikifuatiwa na #AzamFC yenye pointi 54 michezo 24 kisha Simba alama 46 kwenye michezo 21, huku JKT ambayo ipo nafasi ya 14 kati ya timu 16 ikifikisha alama 23 katika michezo 23.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad