Kombe la shirikisho barani Afrika Kufutwa rasmi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Baada ya ujio wa African Football League sasa ni rasmi inaenda kuchukua nafasi ya Klabu Bingwa Afrika hii inamaana kuwa Kombe la Shirikisho barani Afrika litafutwa rasmi.



Moja ya Sifa ya kushiriki hili kombe la African Football League ni zinachukuliwa timu zenye ukusanyaji mkubwa wa alama za Shirikisho la Mpira wa miguu Afrika (CAF) kutokana na matokeo Yao ya Awali na itaangaliwa kulingana na ukanda maana kila ukanda katika bara hili la Afrika litatoa timu kadhaa kwa ajili ya kuwakilisha katika michuano hiyo hiyo ya African Football League (AFL).



Mshindi wa AFL moja kwa moja atajumuika kushiriki Kombe la Dunia la Vilabu 2029.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad