KUMEKUCHA: Mtangazaji Rey Tox wa Mange Kimambi App Aacha Kazi Kwa Mange, Kaandika Haya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPAHabari za leo Watanzania nikiwa kama Mtanzania Mzalendo, tena mwenye Familia yenye kuchukizwa na mambo yanayoendelea ya Udhalilishaji kumuhusu Rais wetu @samia_suluhu_hassan . Rasmi nimeamua kutangaza kwamba Niliamua kuacha kujishughulisha na shughuli zangu za Kikazi kama Outside Contractor ( Mtangazaji wa kujitegemea wa Kipindi cha Funguka Na Reytox ) kwa Mange Kimambi @mangekimambi_ Kwa Muda wa Mwezi na kitu .

Mimi na Mange tulifanya kazi kwa Makubaliano ya Kufanya Entertainment, na Kazi yangu kubwa ilikuwa kuwahoji Wasanii na Wadau wa Burudani na aliahidi kuwa hatofanya mambo ya Siasa kwa malengo ya udhalilishaji, lakini imekuwa Tofauti

Nimechukua uamuzi huu wa Kuacha Kazi Mwezi mmoja uliopita na leo na Uthibitishia Umma kuwa Reytox kama Binti wa Kitanzania na mwenye uchungu na mapenzi na Nchi yake sipendezwi na udhalilishaji unaoendelea kumuhusu Rais wetu, Mama yetu Kipenzi Samia Suluhu Hassan @samia_suluhu_hassan

Watanzania tuungane katika kuleta Amani ya Taifa letu, Tanzania Kwanza na Kazi iendelee.

Rehema Lyoka (Reytox)
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini: 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad