Mechi ya Marudiano ya Yanga na Mamelodi Yapewa Jina la SADC DERBY

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wadhamini wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika Total Energies wameupa jina la SADC DERBY mchezo wa Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns.

Mchezo wa timu hizi mbili umekuwa gumzo Afrika yote na ikizingatia timu hizi mbili zinatoka ukanda wa SADC kiuchumi lakini kimpira timu hizi zinatoka kanda mbili tofauti.

Yanga inatoka ukanda wa CECAFA na Mamelodi Sundowns inatoka ukanda wa COSAFA.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad