Msechu: Yanga Akifungwa na Simba Niitwe Pendo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Msechu: Yanga akifungwa na Simba niitwe Pendo

Msanii wa Bongo Fleva na msanii maarufu wa Bongo Fleva, Peter Msechu amesema kuwa iwapo kikosi cha Yanga kitafungwa kesho dhidi ya watani wao Simba SC basi abadilishiwe jina badala ya kuitwa Peter aitwe Pendo.


Kesho Yanga wanatarajia kushuka dimbani kuvaana na Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC huku wakipewa nafasi kubwa ya kushinda mchezo huo kutokana na uwezo wao.


“Kwa kifupi ukitaka kupunguza stress na kuwa na maisha marefu duniani, shabiki wa Simba kesho kaa nyumbani kwa sababu unaweza kupaona nyumbani kwako kutoka uwanjani ni kama unaenda mkoani, huo ndio ujumbe wangu. Kwenda patakuwa karibu lakini kurudi patakuwa ni mbali sana.


“Yani Yanga akifungwa kesho na Simba, mimi si naitwa Peter? Basi niitwe Pendo, basi,” amesema Peter Msechu.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini: 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad