Mwanafunzi UDOM Adaiwa Kutaka Kujiua Mapenzi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanafunzi UDOM Adaiwa Kutaka Kujiua Mapenzi


DODOMA: Mwanafunzi wa Kiume wa Mwaka wa Kwanza wa Chuo Kikuu cha Dodoma (#UDOM) ambaye Jina lake halijawekwa wazi, inadaiwa amefanya jaribio la kutaka kujiua alipokuwa Ghorofa ya Nne ya (Block H, College of Education) Chuoni hapo, ikidaiwa ni baada ya kutokea mgogoro wa kimapenzi na mwenza wake ambaye bado hajafahamika

JamiiForums.com imezungumza na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko wa UDOM, Rose Mdami kuhusu taarifa hizo ambapo amesema “Taarifa hizo ni za kweli, huyo Kijana alitaka kujiua, bado sijafahamu njia aliyotumia kutaka kutimiza lengo lake hilo lakini ameumia na amelazwa Hospitali ya Benjamin Mkapa akiendelea na matibabu.”

Ameongeza “Taarifa za awali zinaonesha chanzo ni masuala ya mapenzi. Uongozi wa chuo umekabidhi suala hilo kwa Mamlaka za Usalama huku tukisubiri apate nafuu kisha mchakato mwingine ufuate ikiwemo kupatiwa ushauri wa Kisaikolojia.”
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad