Rais Samia Asamehe Wafungwa 1,082

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Rais Samia Asamehe Wafungwa 1,082


Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza msamaha kwa Wafungwa 1,082 ambapo Wafungwa 29 kati yao wameachiliwa huru leo Aprili 26, 2024, Wafungwa 20 waliohukumiwa adhabu ya kifo wamebadilishiwa adhabu ya kifo kuwa kifungo cha maisha.


Aidha, Wafungwa 27 waliohukumiwa kifungo cha maisha wamebadilishiwa adhabu kuwa kifungo cha miaka 30 na Wafungwa 1,006 wamepunguziwa adhabu zao na watabaki gerezani na kuendelea kutumikia sehemu ya kifungo kilichobaki.


Taarifa iliyotolewa na Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema msamaha huo wa Rais Samia ni sehemu ya kuadhimisha Miaka 60 ya Muungano wa Tanzania.


"Ni matarajio ya Serikali kuwa Wafungwa walioachiliwa huru leo watarejea tena katika Jamii kushirikiana na Wananchi wenzao katika ujenzi wa Taifa letu na watajiepusha kutenda makosa ili wasirejee tena gerezani"

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad