Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Klabu ya Yanga imefanikiwa kumuongezea Mkataba Mpya Mshambuliaji wao mwenye Umri wa Miaka 20 Clement Mzize kwaajili ya kuendelea kusalia klabuni hapo.
.
Kwa Mujibu wa Chanzo Changu ni kuwa Mzize amekubali kusaini mkataba wa miaka 3️⃣ huku kukiwa na Maboresho makubwa kwenye mkataba huo mpya ikiwepo Mshahara.
.
Hakuna Nafasi Tena Kwa Azam Kumpata Mzize.
.
Rais Wa Yanga Eng. Hersi ame Play Part kubwa kumshawishi Mzize kusaini Mkataba Mpya.
.
MZIZE TO AZAM ❌
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA