Ziiki Wajibu Shutuma Nzito za Diamond Platnumz

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa

Ziiki vs Diamond Platnumz
Ziiki imejibu shutma zilizotolewa na mmiliki wa lebo ya @wcb_wasafi kuhusu kuzuia wimbo wa "KIBANGO" wa @iamlavalava na @diamondplatnumz. Wanasema walipokea wimbo huo tarehe 16 Aprili 2024 na walitarajia kuutoa leo tarehe 19 Aprili 2024, ambapo ni kinyume na utaratibu wa kimkataba, wakidai kuwa utoaji huo ulikuwa nje ya utaratibu.

Kampuni hiyo inasisitiza kuwa hawakuzuia wimbo huo kutoka bali wanasisitiza umuhimu wa kufuata taratibu za biashara.
_________

LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad