Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
FIFA imetangaza Morocco kuwa mwenyeji wa Kombe la Dunia la FIFA kwa Upande Wa Wanawake U17 kuanzia 2025 hadi 2029,
Kwa miaka mitano ijayo, Morocco itakuwa mwenyeji wa mashindano hayo ambayo sasa yatafanyika kila mwaka na itakuwa nchi ya kwanza ya Kiafrika Kuwa Mwenyeji wa Mashindano ya Vijana ya FIFA.
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA