KUMEKUCHA:Prince Dube Akataa Offer ya Simba Kwa Mara ya Pili, Moyo wake Upo Yanga

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza HapaNi rasmi klabu ya Simba imetuma ofa kwa mara nyingine kwenda Azam FC wakihitaji huduma ya Prince Dube (27) 🇿🇼

Klabu ya Azam ambayo inaamini mchezaji huyo anamkataba nao hadi (2026) imewaruhusu Simba SC kuongea naye na kumsajili, wao wako tayari kuwauzia.

Klabu ya Simba imemfuata Prince Dube baada ya kupewa go ahead na Azam FC, mchezaji huyo kakataa kwa mara ya pili kujiunga na klabu hiyo.

Taarifa kutoka chanzo cha kuaminika zinaeleza kuwa, mchezaji huyo Raia wa Zimbabwe alishamalizana na Yanga SC
_________

LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad