Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
Klabu ya Yanga imefanikiwa kushinda tuzo ya Timu bora ya Kiume ya Mwaka 2023 kwa ngazi ya vilabu kwenye tuzo zinazotolewa na Baraza la Michezo Tanzania (BMT).
Ndani ya mwaka huo Yanga Sc ilitwaa Ubingwa Ligi kuu, Ubingwa FA, Ngao ya Jamii sambamba na kufanikiwa kufika fainali ya kombe la Shirikisho Afrika.
LOVE STORY YA UTANIKUMBUKA NEYLA Ipo tayari ni maandishi na Sauti !, Kuisoma yote Bonyeza HAPA Lipia tsh 1000 Tu mtandao wowote,au Tembelea www.makapedia.com