Chadema (Odinga) vs CCM (Uhuru) Siasa za Kenya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ni ukweli usiotiliwa shaka kuwa CCM inainjinia uchaguzi wa Kenya, na ipo upande wa Uhuru mmoja wa wagombea urais wa Kenya,

Vivyo hivyo chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA, kimejikita katika siasa za kimataifa kwa hapo Kenya huku karata yake kikiitupa miguuni mwa Raila Odinga mmoja wa wagombea anaepewa nafasi kubw ya kushinda kupitia muungano wa vyam ndugu.

Vita hii tunaiangaza kama ni yamapambano ya CHADEMA na CCM kuelekea 2015 hasa kila mmoja akisafisha njia ya kuungwa mkono kumataifa,


Ikiwa ni hivyo tayari ccm na CHADEMA kila mmoja ashashinda kete moja moja, kwanza ni CHADEMA Zambia kwa bwana Satta, na CCM Congo kwa kijana Kabila ambako dhahiri utawala unakula huku umeshikilia sahani mkononi kwani hakuna tumaini la kuweka mezani chakula chini ya M23.

Je ni CHADEMA (Odinga) ama CCM (Uhuru)??



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wapi nduru ya Chadema hapaaaaaaaaa!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad