Kabaang! Wolper Live Ndani ya Bikini kwa Mara ya Kwanza

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


KABAANG! Hatimaye staa wa fi lamu za Kibongo mwenye heshima tele, Jacqueline Massawe Wolper amenaswa ‘laivu’ akiwa amepiga picha na Bikini.

Staa huyo aliyekuwa pekee hajapiga picha ya namna hiyo kati ya mastaa wa kike wanaotamba katika tasnia ya fi lamu hapa Bongo.


Wolper alinaswa na paparazi wetu katika sherehe ya ‘bethidei’ ya msanii mwenzake iliyofanyika hivi karibuni Ubungo jijini Dar.
Siku za nyuma, staa huyo aliwahi kukataa kupiga picha kama hiyo alipotakiwa kufanya hivyo na paparazi wetu katika ufukwe mmoja jijini Dar.
Wolper aliapa kamwe hataweza kupiga picha ya namna hiyo katika maisha yake yote na

Source: Global Publisher



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Amna wolper ajapiga pic ya utupu ila ni mavazi 2 ya ufukwe ila hao ma papa radhi ndo wanataka kumvunjia heshima mwana dada uyo kwa kumdhalilisha ili nae aonekane si chochote waelewe kwamba si wote vichwa vibovu kama wao

    ReplyDelete
  2. Jamani...angekua amepiga nayo sehemu nyingine tungekubali...lakini yuko swimming kwenye pool party mlitaka aogelee huku kavaa jeans???
    Ushamba tu unawasumbua
    Stop being ignorant and small minded!this is not the 18th century so stop leaving in the stone age!

    ReplyDelete
  3. Ilo vazi hapo ndo mahali pake achen umbea

    ReplyDelete
  4. Mbona ni picha ya kawaida tu jamani acheni kufatilia visivyowahusu

    ReplyDelete
  5. watu wengine ka machoko at wanaxhangaa hiy pic! Mulitaka aogelee na suti!?? Achen uchoko

    ReplyDelete
  6. Sasa huyo hapo chini yake alikua anataka kumnyonya au.hahahahaha mapozi mengine jamaniiii

    ReplyDelete
  7. Sasa huyo hapo chini yake alikua anataka kumnyonya au.hahahahaha mapozi mengine jamaniiii

    ReplyDelete
  8. Sasa huyo hapo chini yake alikua anataka kumnyonya au.hahahahaha mapozi mengine jamaniiii

    ReplyDelete
  9. Kwan hao wngne huwa wanapga wap si ni sehemu km hz? Asiandikwe yeye nan km kafanya kituko? Hana lolote muuza sura km wakivyo hao wngne

    ReplyDelete
  10. Hamna lolote mnamchokonoa tu kumtafutia skendo hapo ni mavazi sahihi mahali sahihi,nyie ndo mmekuwa wajinga

    ReplyDelete

Top Post Ad