Mashabiki wa Diamon mkoani Geita wasababisha hasara hoteli aliyofikia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




 Nikiwa mkoani Geita,Hotelini nimepumzika
Uongozi wa Hoteli ulikuja chumbani na kunijuza kuwa kuna
Umati wa watu upo chini umezingira Geti na kuzuia baadhi ya shuguli
za hoteli kusimama kwa muda wa dakika kama 45 na kitu hivi...wananchi hao walikua hapo wakijaribu kutafta nafasi hata ya kuniona ama wakibaatika kunishika hata mkono kabisa....kuonyesha jinsi gani nawapenda na kuwathamini mashabiki zangu ilinibidi nishuke chini na kwenda kuwasalim na kuwapa mkono wa ijumaa karim..
 Nilienda moja kwa moja kwenye Geti kushow love and respect kwa mashabiki
waliofurika hotelini hapa...wakubwa kwa wadogo.....Kuwasihi kwa kuwa
biashara ya hotelini hapo ilisimama kwa muda kadhaa....!!


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad