Huyu Ndio Polisi Mjinga Kuliko Wote Africa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Gazeti moja huko South Africa limeweza kumpiga Picha Askari huyu huku akiwa amekalia bomba la bunduki kama inavyonesha kwenye picha hapo bila kuogopa kama inaweza jilipua kwa bahati mbaya ...Gazeti hilo likaamua kumpa cheo cha Polisi Mjinga kuliko wote Africa....Can you do like That?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hata hapa kwetu Tanzania tunao wengi wajinga wajinga kuliko hata huyu

    ReplyDelete
  2. Wajinga wa namna hiyo mbona wengi tu.

    ReplyDelete
  3. Mi namwita soja....daily anacheza nayo so kwa nn asiwe kama fundi asiyeogopa gari anayoitindua mwenyewe

    ReplyDelete
  4. Hawezi kuwa mjinga kwani anafahamu akifanyacho ndo maana akafanya hivyo..

    ReplyDelete

Top Post Ad