Mume Hafiki Kileleni ni Kawaida au Matatizo?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari zenu wapendwa, Weekend nilipata mgeni ambae ni ndugu yangu, ameolewa ana miezi 3 tu, lililomleta hasa ni kutafuta ufumbuzi anasema tangia ameolewa Mume wake alifika kileleni siku ya Honey Moon tu wana miezi 3 sasahivi hajawai fika tena lakini akiingia uwanjani anaweza ata kukesha tatizo ni hilo hafiki mwisho, amemuuliza kwanini anasema nayeye hajui kwanini, nimeona niwaletee nyinyi wana JF mabingwa wa TIBA ya kila tatizo, maana mdogo wangu amekosa amani ameshaanza kuona kupata watoto itakuwa ndoto
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ni vema mkaenda kumuona dr mtapata ushauri mzuri dada pole usikate tama hayo ni mambo ya kawaida kuna jambo linamsumbua akili mumeo ila ishallah atakuwa sawa nakuombea uwe na ujasiri

    ReplyDelete
  2. Huyo alizoea ama kufira au kupiga punyeto sana ama vyote for sure, wakapate ushauri nasaha labda.

    ReplyDelete
  3. Nitatizo ambalo hata wew linaweza kukukutaa

    ReplyDelete

Top Post Ad