Nakaya "Moja kati vitu ninavyojutia ni kurudisha kadi ya Chadema na kuingia CCM"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nakaaya leo hii alikuwa kwenye interview ndani ya XXL, katika mengi aliyoyaongea, moja ni kuhusu kurudisha kadi ya Chadema na kuhamia CCM.

"moja kati vitu  ninavyojutia ni kurudisha kadi ya Chadema na kuingia CCM, najua nimebugi, lakini sio kama watu wanavyoongea kuwa nilipewa hela, kama nilipewa hela si saa hii ningekuwa nakula bata, lakini wapi! mi sijapewa hela.wanajuaje je kama nilitishiwa au vitu vingine kama hivyo..najua hapo nilibugi.Niliingia kwenye siasa kwasababu ya ushawishi wa watu, na nilishawishika kwasababu ya wimbo nilioutoa wakati hui "Mr Politician" lakini baada ya kuingia, niliona kabisa this is not what i can do, siasa ni mchezo mchafu na niliona vinani confuse" amesema Nakaaya

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hata sasa unaweza rudi chadema nawakakupokea chadema ni chaguo sahihi usijutie sana ni mambo ya kawida inatokea kwa wengi

    ReplyDelete
  2. pole sana dada yangu mi nitapiga harakati mwanzo mwisho wasomi wakubwa wameshindwa ko ni muda wa sisi wananchi kutoa mwelekeo wa nchi yetu haijalishi umri,kipato,taaluma,chama wala sababu nyingine yoyote.

    ReplyDelete

Top Post Ad