Ladies:Unaweza Vaa Hivi Ukiwa Beach?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hizo ni CD za Mziki ....kazifanya kama kivazi cha Beach ...Ladies Mpo ? Can u wear like that ?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Biashara matangazo kaka, dont get scared ni kaz zao#pumbafffffff sana

    ReplyDelete
  2. That's a perfect case of schizophrenia. Women should respect their pathetic life. ADEOS

    ReplyDelete
  3. Nyie watanzania ebu hamkeni! Mnajifanya kama nyie ndiyo ni wagunduzi wa nguo au mavazi. Kabla ya mkoloni watu mbona walikuwa wanatembea uchi. Kuna kitu kiliharibika. Watoto walizali na maisha yakaendelea. Discussion zenu mimi hata sizielewi. Yaani in 21st Century bado tuna zungumzia mambo ya uchi? Wenzenu wanzungu wanadiscuss jinsi gani ya kum evacuate binadam kwenda katika sayari nyingine kama hii dunia yetu explode au kuangukiwa na comets au asteroids, nyie bado mnazungumzia kuona mapaja ya mwanamke au uchi. I see! Nyie bado mko nyuma kusema kweli. We are so slow kutambua ulimwengu unaendaje. Nafikiri wana CCM wametulemaza sana, kwani tunadhani Tanzania ndiyo Ulimwengu. Mmesha ona au kusikia Love Parades in Berlin au Paris. Jaribuni ku google kujua kitu gani kinatokea katika Love Parades halafu ndiyo mwanze kuzungumza kuhusu mwanamke ambaye amevaa kiajabu. Kuna vyama Europe ambavyo vinatoa upanzani uchi kabisa wa myama na hakuna mtu ambaye anatishika eti ameonyesha kuma au mboo. Yamepitwa na wakati hayo kuna mengi ya ku discuss na sio upuuzi kama huu. Kwa nini mnataka kumyima mtu uhuru wake wa kujisikia kama anavyo taka kujisikia. Mimi kwangu ningeona busara kama tungekuwa tuna ibana serikali ili iendeshe nchi kwa manufaa yetu wote na sio kwa wale ambao ni members wa CCM au walio karibu na CCM. Tufikirie tukiwa wazee tutaishi vipi na vizazi vyetu vita ishi vipi katika hii Globalized world. Wachina na wahindi wataleta mfumo gani wa maisha na sisi chances zetu za maisha ziko vipi? Na sio huyu kala nini kavaa nini kaonyesha mapaja bla bla bla!! Umasikini huo.

    ReplyDelete

Top Post Ad