Mimba ya Mke Wangu Inanitesa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wadau naomba uzoefu wenu katika hili..

mke wangu ana mimba ya miez 6 sasa na ndo mimba yake ya kwanza. amepunguza mapenzi kwangu japo si saaana ila si kama zamani asiponiona atapiga simu weeee mpaka kero, siku hizi wala, nikichelewa nakuta keshalala wala hana habari na mim.

katika mimba yake hiyo ametokea kupanda kula miwa.. ebwana ikiksekana hakukaliki hom. huwa na kawaida ya kupitia miwa pale mwenge na kumpelekea kila siku. maana ukinunua mingi ukaweka kwenye frij hataki et iaisha utam (ilimradi visa tu)
sasa jana nilichelewwa kurudi kutoka job, kupita mwenge miwa hakuna, zunguka mpaka ubungo hakuna, ikabidi mwanawane kirud hom tu, kufika tu nikajitetea kuwa nilichelewa kurudi nikakosa miwa..,

weeee, aliporomosha matusi mpaka hasira, nikamwacha aongee tu maana nilimbembeleza anisamehe nitaitafta kesho maana ilikuwa saa nne tayari hakunielewa. mpaka akamwaga maji kitandani eti nisilale mpaka miwa ipatikane..,

basi nilizunguka mpaka saa 6 ndo nikaipata buguruni, hapo tuligonga hdi muuzaji keshalala nikidanganya nataka ya kutengenezea dawa.

jaman kuweni na huruma japo kidogo...., hivi baada ya mimba atabadilika kweli au ndo atabadilika mazima my wife wangu!!!...., naumia sana, kuna vituko kibao ila cha jana ndo kiboko...
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiyo kawaida kwa mwanake mjamzito kinachotakiwa kumvumilia akishajifungua atabadilika usichoke

    ReplyDelete
  2. Jamani shukuru mungu kaka wenzio wanatamanikweli wake zao japo wapate mimba bandia lakin wapi, uyo tena atakua na toto dume huyo.ila mshauri miwa sio mizuri kwa khali yake.

    ReplyDelete
  3. shukuru,hukuchukiwa wewe,wenzako wamefukuzwa nyumba.na hawakurudiana tena.

    ReplyDelete
  4. Usijari kaka akisha jifungua yote yataisha,shukuru ajakuchukia Wewe ungeihama nyumba mbona.

    ReplyDelete
  5. jamani pole, yuko kama mimi nilikuwa nakula miwa yani mimi ilikuwa mchana saa 7 mpaka saa 10 lazma nipate miwa bila hivyo nitahangaika. Ukijifungua inaendelea kidogo wakati wa kunyonyesha mpaka inapotea kabisa anakuwa kawaida wala ucjali

    ReplyDelete
  6. Mimi akinifukuza hivyo natafuta mwenzake anihifadhi mpaka kesho na akirudia namhama kabisaa

    ReplyDelete

Top Post Ad