HII NDIO KAULI YA KAJALA BAADA KUSADIKIKA KUPIGWA CHINI NA WEMA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

“Unajua mi nashangaa sana watu wanatoa wapi maneno wanayoandika, mimi sina tatizo na Wema, wala siwezi kuwa na tatizo naye, wema amekuwa msaada mkubwa kwangu, sa sijui nitagombana nini na wema, huo ni uzushi tuu jamani, muwe mnatuuliza kabla ya kuandika” Alisema kajala
Alipoulizwa kuhusu ukaribu wake mpya na wolper alisema
“Wolper nimekutana naye kwenye party ndo tukaamua kupiga picha, au siku hizi sitakiwi kupiga picha na mtu mwingine zaidi ya wema? Wolper ni rafiki yangu”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaha we acha 2

    ReplyDelete
  2. Wauza sura mna kazi...hivi huo muda wa kuanza kuchunguzana mnaupata wapi? Muda ni mali jamani msiupoteze mtajuta

    ReplyDelete
  3. Kama wema aliamua kukusaidia kwa moyo c bac amekusaidia na yamepta ss anataka kukugeuza msukule wake kisa amekusaidia au ndo unalipa hvy acha kumwabudu m2 fanya yko...!

    ReplyDelete
  4. Kama wema aliamua kukusaidia kwa moyo c bac amekusaidia na yamepta ss anataka kukugeuza msukule wake kisa amekusaidia au ndo unalipa hvy acha kumwabudu m2 fanya yko...!

    ReplyDelete
  5. Vizuri sana kajala kama hawataki kuelewa achana nao!

    ReplyDelete
  6. katka dunia hii usipo semwa basi ww hatamungu hakujui,wapotezee ndivyo wanavo jipatia riziki zao kwa kuandika wasichokijua

    ReplyDelete

Top Post Ad