KILA AKIFIKA KILELENI ANANING'ATA NA MENO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

R.I.P Ngwair,Langa-habar wana jamvi
Nautandika uzi wangu huu hapa kuomba ushauri nifanyaje au dawa yake ni nini katika tatizo hili linalonisibu!
Nina mpenzi wangu niko kwenye mahusiano mwezi wa tisa sasa hivi,tatizo ni pale tunapokuwa ndani ya sita kwa sita huwa ananing'ata .Hii hali humtokea mara nyingi sana hasa hasa kipindi kile ambacho anakuwa anafika orgasm(female),hapa nilipo ukinikagua vizuri kifuani nina makovu kadhaa hadi kuwa chest game inakuwa aibu
Yani inakuwa shida kiasi natakiwa kujihami mara nikiwa namshughulikia hasa pale anapokuwa anakaribia orgasm kwa kutafuta stail ya kujiweka mbali na mdomo wake-lakini kama unavojua kipindi hiki mtu anaongezeka nguvu mara 100 so mara nyingi mimi naishia maumivu,na nimekuwa type ya wanaume ambao na last long in bed (enough stamina) hivo basi katika one shot naweza hata ng'atwa mara 3
Nikimuuliza mwenzangu anasema yeye hua hajitambui anapofanya kitendo hiko(biting) na kuishia kuni promise atajitahidi kujizuia next time lakini wapi -game inaishiaga vilevile.Kwa hali hii mimi naona kero hadi nafikiria kumuacha hali nampenda tena sana,sasa kabla sijafanya hivyo naombeni ushauri nifanyaje au hii hali inatibika na dawa yake nini?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hapo no dawa coz mtendaji anakuWa hajitambui nakama hajitambu huwa anakuwa amekukamatiria viliVYO au unajua sielewiii!!!
    Hebu funguka kabisa

    ReplyDelete
  2. Dawa ni kubadili mtindo unapokua nae sita kwa sita achana na style ya kizamani kifo cha mende badili style ili ujiweke mbali na Mdomo wake Utafanikiwa

    ReplyDelete
  3. Nakushauri umng'oe meno kabla hamjaanza kufanya tendo.

    ReplyDelete
  4. Haina budi kubadili style wangu vinginevo hakuna dawa kwa hilo

    ReplyDelete
  5. Piga style ya mbuzi kagoma kwenda najua atang'ata godoro kuliko wewe....ukimuonea huruma basi subilia siku ya siku kung'atwa jicho mzee.

    ReplyDelete
  6. Mbuzi kagoma ndiyo mpango.Kama vipi back front.

    ReplyDelete
  7. kubadili style sio kigezo..anaweza ku bite popote hata kuchana mashuka..

    ReplyDelete
  8. duh hatareeee! ni mmmarangu nini kaka, kama ni mmarangu hizo ndio zao huwezi mbadilisha

    ReplyDelete
  9. duh hatareeee! ni mmmarangu nini kaka, kama ni mmarangu hizo ndio zao huwezi mbadilisha

    ReplyDelete

Top Post Ad