MTOTO ALIYE JERUHIWA NA BOMU ARUSHA AFARIKI LEO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimekutana na hii habari Jamii Forums:
----------------------------------------
Makamanda mtoto mwingene afariki leo alijeruhiwa na bomu mungu aiweke roho yake pema peponi na katibu wa mbunge yuko I.c.u hali yake mbaya cna mh gabu anahali.mbaya cna tumwombeeni jamani tanzania inatakuwa somalia jmni mungu ibariki chadema mungu ibarki tanzania ccm na chadema zote zinapita tu vyama vya siasa zinapita tu tujali ubinadamu vyama vinapita tu tujenge mshkamano na upendo jmni r.i.p makamanda wetu siasa sio uwadui jamani viongozi wa dini iombeeni nchi yetu jamani inaelekea pabaya cna waislaam na wakristo ombeeni taifa hli jamani kesho ndyo tunawaaga miili ya marehemu uwanja wa soweto njooni tuwasindikize makamanda wetu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwenzetu,kiswahili kinakupa shida,na kuandika tabu,jamani try to edit your words before sending to pulic,loh! Puuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad