"POLISI WATAENDELEA KUWAPIGA WALETA VURUGU HAPA NCHINI NA TENA NIMEWAAMURU WAWAPIGE ZAIDI NA ZAIDI"... WAZIRI MKUU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema jeshi la polisi litaendelea kuwakabili na kuwadhibiti ikiwa ni pamoja na kupiga wale wote wanaokiuka amri halali inayotolewa katika kulinda amani ya nchi iliyopo ...
Mhe Pinda amesema hayo bungeni mjini Dodoma wakati wa kipindi cha maswali kwa waziri mkuu akijibu swali aliloulizwa juu ya matukio ya polisi kudaiwa kupiga wananchi katika matukio ya hivi karibuni

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Waziri km waziri hutakiwi kutamka maneno km hayo ya kuwapa polisi ruksa ya kupiga laia wa nchi yako, ebu chukueni mifano kutoka kwa nchi za wenzenu polisi hawapigi watu utakuta mtuhumiwa anampiga polisi kibao lkn polisi harudishi mashambulizi ya kibao alichopigwa na mtuhumiwa, lkn mpige kibao polisi watanzania huone chamtema kuni..... Nawachukia sn polisi wa tanzania na serikali yake ya CCM..... CCM MJIPANGE SANA 2015 watu tushawachoka vibaya mno

    ReplyDelete
  2. Kinda u hv stepped so low uttering dat

    ReplyDelete
  3. Maneno hayo alitakiwa aongee lopolopo Nape au Nchemba sio Waziri,dawa ni kuwapiga chini 2015 magamba wakubwa hawa. Naanza kuamini mtoto wa mkulima kawa Bepari.

    ReplyDelete

Top Post Ad