DIDA APIGWA DONGO"TULIA SASA NA HIYO NDOA TUMECHOKA KUHUDHURUA SHEREHE ZA NDOA ZAKO"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

BAADA ya hivi karibuni Mtangazaji wa Radio Times, Khadija Shaibu ‘Dida’ kufunga ndoa na mwanaume aitwaye Ezden, mashosti zake wamemtaka kutulia sasa na asijaribu kugeuza ndoa kuwa fasheni. Wakizungumza na Ijumaa kwa nyakati tofauti, baadhi ya mastaa walioomba hifadhi ya majina yao ambao walihudhuria ndoa hiyo iliyofungwa Ijumaa iliyopita Ubungo jijini Dar walisema, wamechoka na mialiko ya ndoa zake kila baada ya kipindi kifupi hivyo ni wakati sasa wa kutulia, Hii ni ndoa ya Tatu ya Dida.

“Asifanye ndoa kama fasheni, tumechoka kuhudhuria sherehe za ndoa yake, kama ana kasoro, ajirekebishe ili atulie sasa ajenge maisha yake,” alisema staa mmoja ambaye ni rafiki wa karibu na ndugu wa Dida. Hata hivyo, akizungumzia kuhusu kuolewa huko, Dida alisema safari hii ndoa yake ikivunjika haolewi tena.


Kwa hisani ya Na Hamida Hassan /GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jackie wa malilo12 July 2013 at 18:22

    Nakwann ivunjike anatakiwa aseme aivunjiki awe mvumilivu ndoa sio lele mama na pia apunguze show off kwenye ndoa,ndoa na watu wawili yeye na mumewe sio kila analofanya analianika sio wote wanaompenda.usikubali ndoa yako ivunjike dida

    ReplyDelete
  2. Eti Dida Ana 28yrs na huyo mume mpya Ana 27yrs,looooo balaa

    ReplyDelete
  3. We nawe cha ajabu ni nini km wamepishan mwaka m1?

    ReplyDelete
  4. mh dida kuwa na 28 ni uongo, yuko kny 30 naa

    ReplyDelete
  5. Mbona kaolewa na huyo mtoto kweli shuga mami dida.

    ReplyDelete
  6. haters....acheni majungu...age doesn't matter as long as wanapendana...hakuna cha sugar mami wala daddy kwanza mshaambiwa uzee mwisho kibaha mjini kila mtu bby ndo habari ya mujini hiyo...!!

    ReplyDelete

Top Post Ad