HASHEEM THABEET AIBUKIA NDANI YA BONGO STAR SEARCH

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mtanzania pekee anayeiwakilisha Tanzania kwenye ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani maarufu kama NBA, Hasheem Thabeet. Hivi karibuni alijunga na majaji wa Bongo Star Search kwa lengo la kuwapa moyo vijana ambao wanajaribu kuonyesha vipaji vyao kwenye shindano hili. Hasheem Thabeet ni moja ya vijana ambao wamefanikiwa kutumia vema vipaji vyao na kuwa mfano mzuri kwa vijana wengine kufanya juhudi kwenye talent zao.
1014055_583040755079983_1736572220_n
Jaji mkuu wa BSS Rita Paulsen aliandika kupitia ukurasa wake wa facebook kwamba, “Rafiki yangu Hasheem Thabeet alikuja kuwapa moyo na kuonyesha support yake kwa vijana wanaofanya usaili. Namshukuru sana kwa mchango wake”.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. I think kazi hii inamfaa huyu kijana, NBA hana lolote, benchi linamzeesha.

    ReplyDelete
  2. big up braZaaa

    ReplyDelete
  3. hivi salama bwana ake ni nani..

    ReplyDelete
  4. BWANAKE BABAKO

    ReplyDelete
  5. Poa xana...Nimefurahishwa na Salama pale kati...yaani kama Hashim kammeza hivi, ''Kistuli'' uko poa ... I like the photo...lol!

    ReplyDelete

Top Post Ad