HIVI WATANZANIA TUMEKOSA UTU KIASI HICHI? AU NDIO MAISHA YA KISASA?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Watanzania wenzetu wanavua samaki kwa kutumia sumu, wengine wanakaanga chips kwa mafuta ya transformer, kuku wanakuzwa kwa contraceptives (dawa za uzazi wa mpango), kitimoto nao wanapewa ARV's, samaki wanahifadhiwa kwa formalin (dawa ya kuhifadhia maiti) si hivyo tu, dawa feki kila kona? Vyote hivi in a long run vitawaathiri watanzania wengi! Tunauana wenyewe kwa wenyewe kwa tamaa ya kutajirika haraka haraka! Mimi huu ujinga unanikera sana!!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwakweli inakera sana wala si kidogo,yaani tumekuwa wanyama,utu hakuna,watu wanaangalia masilahi wala si utu tena,too bad jamani.

    ReplyDelete
  2. Alaf majitu badala ya kuchukua tahadhari ndo kwanza kila cku yanatuona cc tunaojilia vyakula vya asili ni masikini

    ReplyDelete

Top Post Ad